flash3

Tuesday 30 October 2012

BONGO MOVIE:MEYA SOON KUFANYA KAZI NA CHINEDU

Msanii anayefahamika kwa jina la Meya Shabani almaarufu kama Aki wa Bongo anafanya mipango ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria Nollywood, Chinedu na Osita.  katika mazungumzo hayo Meya alisema kwamba wasanii hawa wawili wanaweza wakaja hapa Tzee japokuwa ndiyo wapo katika mazungumzo na wasanii mbalimbai wa Tze ili wapate ushauri katika kufikisha malengo yao ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria.

No comments:

Post a Comment