flash3

Wednesday 17 October 2012

DIAMOND KUFANYA COLLABO NA NAJMA

Naweza kusema kwamba Diamond  mwaka huu kwake umekuwa ni mwaka wa mafanikio mazuri sana kama vile alivyopata shavu la kwenda nchini Marekani kupiga show pia juzi juzi akatangazwa katika mtandano mkubwa wa unaofahamika kwa jina la |MSN kwamba yeye ni king of  Bongo Fleva.Sasa habari nyingine ambayo tumeipata ni kwamba msanii huyu usiku wa kuamkia leo alikuwa  Am records kwa manecky akifanya collabo na msanii anayefahamika kwa jina la Najma lakini bhana atuku bahatika kufahamu jina la ngoma hiyo.Kwahiyo wale mashabiki wa Bongo Fleva wakae tayari kwa ujio wa ngoma hiyo mpya..

No comments:

Post a Comment