flash3

Monday 22 October 2012

Happy Birth Day Mike Bwax

Huyu Ni Michael Mkala Nzavila Maarufu Kama Mike Bwax, ni wazi Kuwa huyu jamaa ana furaha kubwa kwani anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa hii Leo alizaliwa mnamo mwaka 1990 hii ina maana kuwa ameishi miaka 22 katika ulimwengu huu wa Kenya.
Yeye Ni mtangazaji wa kituo cha redio seheme ya pwani ya kuenya marufu kama Pwani Fm.
Katika historia yake ya maisha, Bwaks anasema kuwa hawezi kusahau siku ile aliyozaliwa akiwa na miezi sita na kisha kuisha kwa chupa maarufu kama Incubeter.
Maisha Mema Mike Bwax.........

No comments:

Post a Comment