flash3

Thursday 18 October 2012

MSANII MARYA NA MUSTAPHA ON FIRE AGAIN?

Mwaka mmoja uliopita msanii alie chini ya Ogopa Marya na mwanachama wa zamani wa Deux Vultures  Mustapha Kanali walitajwa kuwa couple of the year baada ya kuweka hadhaani mahusiano yao.
chakushangaza wawili hao waliachana kwa kisa kinachodaiwa kuwa ni tofauti za kidini 


Baada ya muda fulani Mustapha aliamua kuvunja ukimya na kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu kuachana kwao

“The song was inspired by the break up with me and Marya; she’s a Christian and am a Muslim. Kuna mmoja alifaa abadili dini so Mustafa niitwe Emmanuel so ikakua kuna tatizo kidogo so that’s it,”Mbili badala kugundua kuwa alikuwa imani utata kidini basi kwa nini wao kwenda pamoja nao?

kupitia kwente twitter leo asubuhi Marya aliandika

@MaryaOgopaDjs wrote on Twitter this morning:

I didn’t break up with @colonel40 (Mustafa) because of religion. To get the real deal follow (Mustafa)

@colonel40 added his voice tweeting in reply:

Today Marya hit me up.. So al be thinking of her… Hey hey hey baby… Labda tukijaliwa tutarudiana tena..

Truth be told if I was to date again I wouldn’t date a celebrity. But perhaps I’d make an exception or two. @colonel40

No comments:

Post a Comment