flash3

Friday 19 October 2012

SIZE 8 AJITOA KATIKA TUZO ZA KISIMA

Baada ya kupata taarifa ya mtu mzima DNA pamoja na Daddy Owen kwa kujiondoa katika tuzo za kisima sasa habari ambayo tumeipata ni kwamba Mwana dada Size 8 naye amejiondoa katika tuzo hizo za kisima.Taarifa hii tumeipata baada ya Kisima music award kupokea taarifa hii kwa Size 8 na kuamua kumuondoa katika tuzo hizo

No comments:

Post a Comment