flash3

Tuesday 16 October 2012

HUYU NDIO MTOTO WA CHINEDU MUIGIZAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA


 

Huyu ndio mtoto wa muigizaji maarufu kutoka Nigeria anaejulikana kama Chinedu (AKI), na mtoto wake anaeitwa Wololo. duuuuhhh!!!!!!! chinedu sasa anaanza kuitwaaa baba.Tunamtakia malezi bora na mafunzo mazuri kwa mtoto ake.

No comments:

Post a Comment