flash3

Wednesday 24 October 2012

MWANA FA SOON KUFANYA COLLABO NA WASANII KUTOKA KENYA........

Mwaka huu umekuwa ni mwaka wenye mafanikio mbalimbali kwa wasanii wetu wa hapo Tzee kama kwa mfano tumesikia Dogo janja ana mchakato wa kufanya collabo na mtu mzima prezzo mara baadaye tukasikia kwamba Baby madaha naye afanya collabo na Nameless kweli mafanikio ya wasanii wa hapa bongo land yanakuwa mazuri.Sasa habari nyingine niliyoipata kwa mtu mzima Mwana FA ni kwamba ana mipango ya kufanya collabo na Wyre pamoja na Prezzo katika ngoma yake mpya. tunamtakia All the best katika collabo hiyo.

No comments:

Post a Comment