flash3

Thursday 25 October 2012

SHILOLE, BARNABA TENA?


Stori:Erick Evarist

KUNA tetesi kuwa, penzi lililokuwa limekufa kati ya mwigizaji wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Mbongo Fleva, Elias Barnaba limerejea kwa ari, nguvu na kasi mpya.

“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa ‘veri klozi’ nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’
Mwanahabari wetu aliwatafuta hewani wote, lakini…

No comments:

Post a Comment