flash3

Thursday 25 October 2012

BI. CHEKA KUTOKA MPIRA WA MIGUU, NGOMA HADI BONGO FLEVA

Na Erick Evarist
NANI kasema kipaji kinazeeka? Asikwambie mtu, Bi. Cheka anadhihirisha msemo usemao ng’ombe hazeeki maini kwani licha ya umri wake mkubwa, bado anapanda jukwaani kutoa burudani kupitia muziki wa Bongo Fleva.

Bi. Cheka akiwa kijijini kwao.
HISTORIA KWA UFUPI
Jina kamili ni Cheka Hija. Amezaliwa mwaka 1959, Ilala jijini Dar es Salaam. Kabila lake ni Msangu. Jina la Bi. Cheka alilipata baada…

No comments:

Post a Comment