flash3

Monday 15 October 2012

NU VIDEO: NAS – ‘A QUEENS STORY’...............

Naweza kusema kwamba imefika ile time sasa ya kuona kile ambacho tulikuwa tuna kisubiri kwa muda mrefu maana unakuta kuna time mtu yaani anasema daaahh!!!! nasubiri tu video kwa sababu audio nimechoka kila siku kuisikia sasa basi ebu fanya kama una click hapoo uone jinsi mtu mzima  NAS alivyofanya yake katika kichupa hiki.

No comments:

Post a Comment