flash3

Tuesday 16 October 2012

STUDIO ZA GRANDPA NA WASANII WAKE WAJITOA TUZO ZA KISIMA



Studio ya Grandpa na wasani wake wametangaza kujitoa kwenye tuzo za kisima 2012.Grandpa records inasimamia wasanii wengi akiwepo DNA na kundi linaloitwa Grandpa familly imetangaza  kuwatoa wasanii hao katika tuzo hizo ambao walikuwa wachaguliwa kuwani tuzo hizo na DNA akiwa category ya Boomba Artist na wimbo wa maswali mingi na hao wengine kuwa katika kundi bora na wimbo wao fimbo ya kwanza 

No comments:

Post a Comment