flash3

Monday 15 October 2012

Yaliyojiri katika tamasha la muziki wa injili Huko Kikambala, Katika Uzinduzi Wa Kanda Mpya Ya Msanii Cosmoo.........

Irine Sifa
 The Clerics Wakirusha Mistari Yao Juu ya jukwaa Hapo jana
Ruth Mukabi....Akifanya Vitu Vyake Katika Tamasha Hilo
Baadhi Ya umma Uliokuwa Umefika Kushuhudia tamasha hilo
Msanii Eliano Akiwa Katika Steji Hapo jana katika kanisa hilililokuwa limejaa watu wasiopungua mia sita...
Huh Shabiki Huyu Naye akalifanya jukwaa kuwa kiti du!
Eliano Bado Anawakilisha
Shinaz 4 Christ Pia Walikuwa ndani ya nyumba wakifanya mabo yao.
Mafundi wa mitambo wakikatika rumba du!!
Cosmoo Akizindua Kanda Yake....
Cosmoo Akiabudu...

No comments:

Post a Comment