flash3

Wednesday 24 October 2012

CHRIS BROWN KUWA DIRECTOR WA U.G.L.Y MUSIC VIDEO

Chris brown baada ya kuwa na mafanikio mazuri mwaka huu sasa kama unakumbuka kipindi cha nyuma msanii huyu alikuwa ni director wa video ya inayofahamika kwa jina la "Amnesia" chini ya msanii anayefahamika kwa jina la LuvaBoy TJ sasa habari nyingine ambayo tumeipata kuhusu msanii huyu ni kwamba amehusishwa tena katika video mpya ya wasanii wanaofahamika kwa jina la U.G.L.Y katika video hiyo mpya yeye chris brown amehusika kama director wa video hiyo mpya...dzain kama naona itakuwa ni bonge la videoo maana hizo clip ni balaaaa!!!!!!!!!

CHECK OUT CLIP ZA VIDEO HIYO MPYA ALIYO DIRECT MTU MZIMA CHRIS BRIZZY.


No comments:

Post a Comment