flash3

Monday 22 October 2012

CHECK OUT:OMMY DIMPOZ ALIVYOIBIWA NA MSANII MWENZAKE

Ukizungumzia Ngoma ambazo dzain hata zikichezwa Club na sehemu nyingine mbalimbali basi ngoma ya msanii huyu lazima iwepo na mashabiki wanakubali sana ngoma zake kwa mfano ile ya Nai Nai baada ya hiyo tukaona akaja na ngoma nyingine kali inakwenda kwa jina la "Baadaye" kiukweli msanii huyu anafanya vizuri katika kazi zake.Sasa nilikuwa nataka nikufahamishe habari ambayo kiukweli si nzuri hata kama wewe ni mshabiki wa muziki ni kwamba siku ya jana bhana mida fulani ya mchana mtu mzima Ommy Dimpoz alifunguka na kusamba baadhi za  picha ambazo alifanyiwa unyama katika gari lake kwa kuibiwa spea mbalimbali zinazopatikana katika gari
lake na msanii huyu aliyehusika na unyama huo ni mtu mzima Lord eyez

Huu ndiyo ushahidi ambao unaonyesha kwamba mtu mzima Lord eyez amehusika



 Hicho ndicho alichokiandika Ommy Dimpoz baada ya kuibiwa na msanii mwenzake
 

No comments:

Post a Comment