flash3

Monday 22 October 2012

BRANDY CHUPUCHUPU KUKACHA MZIKI

Katika interview ya hivi karibuni Brandy amekubali kuwa ilibaki kidogo aachane na mziki.
Brandy ameiambia CNN
"kuna wakati nilijaribu kurudi kwenye game lakini ikawa inashindikana, nikaanza kuhisi labda sicho nilichoandikiwa kukifanya.Watu walianza kinisema kuwa nilikua zamani na wengine wakinisema kuwa nimeishiwa, kitu ambacho kiliniathiri sana mpaka nikaanza kujiuliza nikweli? sina tena kipaji? mpaka pale nilipokuja kuiona nafasi na nikarudi tena."alisema Brandy.

No comments:

Post a Comment