flash3

Tuesday 23 October 2012

PROFESSOR JAY SOON KUANZIA FOUNDATION YAKE RASMI

Ni moja kati ya wasanii wanafanya vizuri katika game la muziki hapa Tzee hata nje ya Tzee japokuwa tunafahamu kwamba kwa sasa ametajwa katika kuwania tuzo za kisima mwaka huu lakini habari ambayo ametumbia msanii huyu ni kwamba kwasasa ana michakato ya kuanzia kitu ambacho kitakuwa kina elimisha jamii nzima kuanzia mama,baba na watoto katika upande wa elimu na hata ki afya kwa wale wasiojiweza na jina ambalo litakuwa likitumia katika kutoa misahada hiyo itakwenda kwa jina NISHIKE MKONO TOUR  na foundation hiyo itaanza rasmi siku ya tarehe 26 maeneo ya Kibaha- Pwani.big up sana kwa mtu kama huyu kuamua kuanzisha foundation yake ya kusaidia jamii nzima hapa Tzee big up to him kwa harakati nzuri kama hii.

No comments:

Post a Comment