flash3

Monday 22 October 2012

MATONYA ABADILI JINA AJIITA "TONYA BUSNESS"

Najua nikizungumzia wasanii ambao walikuwa  na matarajio mazuri pia wasanii wanao wanafanya vizuri sana katika game la muziki wa hapa Tzee basi huyu atakuwa mmoja wao huyu si mwingine ni matonya sasa habari nzuri ambayo nataka nikupe kuhusiana na msanii huyu ni kwamba siku za hivi karibuni ameamua kubadilisha jina lake bhana na kujipa jina la "TONYA BUSNESS"baada kupata taarifa hii kwamba matonya amebadilisha jina hilo sasa nilimtafuta ili atiririke kuhusiana na sababu za kubadili jina lake na akasema kwamba mashabiki wake ndiyo waliomshauri mpaka kupelekea kubadilisha jina lake.kwa hiyo msanii huyu kuanzia sasa atakuwa akijiita Tonya Busness katika kazi zake za mziki wa Bongo Land hata nje ya Bongo Land.

No comments:

Post a Comment