flash3

Tuesday 1 October 2013

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE Msanii maarufu wa bongo movie Inchini Tanzania Irene Uwoya ameaacha rasmi kuigiza bongo movie na kuamua kundelea na shughuli zake nyingine kama TV SHOWS.

Kupitia Mtandao wa DSTV Irene Uwoya alifunguka na kusema “Nimeamua kuacha mambo ya movie na kuwaachia wengine, haya maamuzi nimeyafanya kama miezi sita iliyopita… Mara ya mwisho kuigiza ni zaidi ya miezi sita iliyopita pia.”
Movie alizocheza mpaka sasa zinafika 40 lakini za kwake ni nne tu na amekiri kwamba kuacha kwake kuigiza hakuta mshushia kipato chake cha siku zote ambapo kwa movie moja ya kwake mwenyewe alikua anaiuza mpaka kwa milioni 35 Pesa ya Tz.
source DSTV

No comments:

Post a Comment