flash3

Friday 18 October 2013

RAMBO NA ARNOLD SCHWARZENEGGER WAIGIZA MOVIE NYINGINE PAMOJA- Sylvester Stallone wengi wakimfahamu kama Rambo ameigiza movie nyingine na Arnold Schwarzenegger ambayo imepewa jina la Escape Plan. Ukiachana na Arnold Schwarzenegger waigizaji wengine maarufu ambao wameshiriki kwenye hiyo movie ni Curtis Jackson a.k.a 50 Cent pamoja na Jim Caviezel na wengine wengi. Ndani ya hii movie Sylvester Stallone a.k.a Rambo anafanya mipango ya kutoroka kwenye geraza lenye uliinzi mkubwa. Unaweza ukaangalia Trailer fupi ya Escape Plan hapo chini

No comments:

Post a Comment