flash3

Friday 21 December 2012

KESI YA LULU YAHAMIA MAHAKAMA KUU..................


Lulu (katikati) akisindikizwa kuelekea mahakamani.
Sehemu ya watu waliofika kusikiliza kesi hiyo.
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo amerudishwa rumande baada ya kusomewa kesi yake mpya ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Agustina Mmbando alifunga shauri hilo katika mahakama hiyo na kusema kesi hiyo sasa inahamia mahakama Kuu kwa kuwa mahakama yake haina mamlaka ya kuisikiliza.

No comments:

Post a Comment