flash3

Friday 21 December 2012

Q CHILLAH AWEKA WAZI KUACHANA NA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA

Msanii mahiri wa muziki wa Bongo Fleva maarufu kama Q chillah baada ya mashabiki wengi wa muziki kumzungumzia kwamba anahusika katika utumiaji wa madawa ya kulevya, sasa leo ameamua kukiri na kusema alikuwa anatumia madawa hayo lakini kwasasa ameachana nayo na ana takriban miezi saba toka aache. @mfb-ent.blogspot.com tunakupa big up broo kwa kukiri na kuachana na hayo madawa ya kulevya, na ujihusishe na mambo muhimu yakulijenga taifa leko pamoja na kuwaridhisha mashabiki wako ulimwenguni.

No comments:

Post a Comment