flash3

Tuesday 4 December 2012

UMRI WA LULU BADO GUMZO MAHAKAMANI

Msanii wa filamu za kibongo maarufu kama Bongo Movie, Elizabeth Michael alias Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late  Steven Kanumba, siku ya jana ndiyo kesi yake ilikuwa inasomwa katika mahakama ya Hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam huku suala la umri wa mshitakiwa huyo likiendelea kuwekwa chini.
Kwa mujibu wa Bw.Kenneth Sekwa ambaye ni Wakili wa Serikali alisema kwamba upelelezi bado haujakamilika  kutokana na umri wa mshitakiwa,kwa hiyo mahakama imeamua kuahirisha kesi yake  na kupeleka mpaka Disemba tarehe 17 mwezi huu.

No comments:

Post a Comment