flash3

Wednesday 19 December 2012

CHECK OUT:BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA YA BELLE 9 "LISTEN"

 Msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Belle 9 baada ya kukubali na ngoma zake kali,sasa ameamua kwenda mkoani Arusha kufanya video yake mpya na Director Nisher na hizi ni baadhi ya making video yake mpya inayokwenda kwa jina la Listen ambayo anatarajia kuichia mwakani.


No comments:

Post a Comment