flash3

Thursday 9 June 2016

Birthday ya mwaka mmoja ya Tiffah kufanyika Club.....(Mlimani City)

Ana followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali kuwa Tiffah ni supastaa mtoto kuliko wote Afrika?
Tayari mtoto huyo ana miezi 10 na hiyo ikimaanisha kuwa birthday yake ya mwaka mmoja inakaribia. Tiffah alizaliwa August 6, 2015.
Diamond anadaiwa kuanda birthday party ya kukata na shoka ya mwanae huyo na ametangaza kuwa itafanyika Ndani Ya Mkahawa Wa Mlimani City Nchini Tanzania. “Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale mlimani City patakuwa kama Disney Land!!!! @princess_tiffah,” ameandika Diamond kwenye Instagram.

Naye mama yake alimpongeza kwa kuandika: Yesterday you were mummy’s tiny baby and today you are mummy’s big girl. Happy 10 my beautiful princess the apple of my eye, the air I breathe. Plse don’t grow so fast, mummy will miss you being her baby.”
Mwana Mitindo Huddah Monree Kutoka Hmu Nchini ni miongoni mwa mastaa walio na hamu kubwa ya kuwepo kwenye birthday hiyo.

“Our baby @princess_tiffah Turning ONE soon…. The ROYAL DUTCHESS of TZEE . Hii Sio party ya kikosa Jamani . There will be a BIG SURPRISE that day! Asiye na wake aeleke jiwe….Mimi I’ll be there na mawe zangu khaa! Mama Tiffa @zarithebosslady give us LOCATION Basi …. We need to book tickets EARLY,” aliandika Monree.

No comments:

Post a Comment