flash3

Thursday 9 June 2016

Mariah Carey atamani ndoa yake na James Packer ifanyike mwaka huu......

Akiongea na Sharon Osbourne mwandishi wa ET, Mariah Carey alisema, “Getting married this year is the goal, it’s also ‘a lot on my plate.”
Mariah Carey amekuwa kwenye kikwazo kizito kutoka kwa ex wake, Nick Cannon cha kufunga ndoa yake baada ya wiki iliyopita alikataa kutia saini talaka yao kwa madai kuwa hayupo tayari kumuona mzazi mwenzake huyo anaolewa na tajiri wa Australia, James Packer.
Mariah Carey na Nick Cannon walitengana mwaka jana lakini walifanikiwa kupata watoto wawili, Monroe na Moroccan.

No comments:

Post a Comment