flash3

Thursday 9 June 2016

Ushaicheki Hii Ya Serah Sarah


Serah Sara Ni Msanii Kutoka Hapa Nyumbani Japo Kazi Zake Nyingi amekuwa akizifanyia Nje ya nchi (Dubai).
Si Muda Wa Kitambo Sara Alimhusisa Dazla Kiduche Katika Wimbo Cheza Kidogo, Wimbo Ulio Fanya vizuri sokoni na kumpa jina.
Serah Ni Mwanamziki Mzuri mwenye sauti nzuri tu na ana mengi yakukupa lakini leo hii anakusongezea video ya wimbo wake mpya 'Ukirudi' wimbo amabao kwa sasa unaponya mioyo ya wengi wapendanao.
Tazama Hii video Hapa.

No comments:

Post a Comment