flash3

Thursday 10 January 2013

Akon Ashangazwa Na Kitendo Cha Justin Bieber Kuvuta Bangi

    
   Msanii kutokea pande za Obama, star Akon ambaye anafanya vizuri kwenye kazi yake ya sanaa ya muziki kwa kutamba na baadhi ya ngoma zake kali mfano Beautiful, Be With You, Dont Matter, Hurt Somebody na nyingine nyingi, ameshangazwa sana na kitendo cha msanii Justin Bieber kuanza kuvuta bangi.
       Akon ambaye hatumii kilevi cha aina yoyote ile, alisema hayo wakati alipokuwa akihojiwa na mtandao wa TMZ na kusema kuwa atajaribu kumtafuta na kupata time ya kuongea nae kuhusu hilo.

No comments:

Post a Comment