flash3

Thursday 10 January 2013

Britney Spears Kutokuwa Jaji Wa X Factor Msimu Ujao


         Msanii maarufu kutokea nchini Marekani, mwanadada Britney Spears ametangaza kuwa hatokuwa tena Jaji katika mashindano ya X Factor. Taarifa hiyo ameisema Britney mwenyewe kwa sababu kwa sasa anataka kurudi tena katika muziki.
         Britney aliongeza kwa kusema, sasa hivi yupo mbioni kuikamilisha album yake ya nane ambapo atakuwa akisaidiwa na nyota kutoka kundi la Black Eyed Peas Star Wii.i.Am pamoja na producer wake Hit-Boy ambae ndiyo producer aliyetengeneza ngoma ya Jay-Z na Kanye West inayoitwa Niggas in Paris.

No comments:

Post a Comment