flash3

Friday 4 January 2013

BARNABA: NASHUKURU NIMENUNUA GUITER LINGINE BAADA YA KUIBIWA



Siku kadhaa baada ya kuibiwa guiter lake nje kidogo ya office za THT, Barnaba sasa amenunua guiter jipya London ambapo yupo huko akifanya shows katika miji mbaliu mbali
"nashukuru sana kwasababu nimefanikiwa kununua guiter jipya baada ya kuibiwa langu na mtu ambae nahisi alikua ananifatilia kwa mda mrefu, ila nashkuru sana nimenunua lingine kwa paund ya uingereza 350 ambayo ni kama millioni mbili na upumbavu." amesema barnaba
nadhani utakua umeteleza kidogo,  kwa rate ya leo paund 1 ni sawa na shilingi 2544, inamaana kwa paundi 350 ni sawa na shilingi 8,90400

No comments:

Post a Comment