flash3

Tuesday 8 January 2013

Fatty Akanusha Kukosana Na Producer Tee.

Nikati jYa Wale Wengi Wenye sifa Humu Nchini Ambao Wamekuwa Wakiwabeba mashabiki Wengi Katika Matamasha Mbali Mbali, Maarufu Kama Fatty S Jina Lake Kamili Salim Mwinyi, Hii Leo Baada Ya Kuzungumza Na Mwandishi Wetu, Fatty Asema Kuwa Hana Bifu Yoyote Na Producer Tee Wa Tee Hits, Haya Yamejiri Baada Ya Fatty Kuacha Kufanya Kazi Katika Studio Hizo N Kisha Kurudi Aliko Kuwa Zamani Mwamba Records Chini Y Producer Nuru.
Sababu Zilizo Mtoa Fatty Katika Studio Za Mwamba Hapo Awali Nikuwa Studio Hizo Hazikuwa Zikizingatia Usambazaji Wa Kazi Za Wasanii Wake.
Nasasa Baada Ya Gumzo La Muda Na Studi Hizo Fatty Ataendelea Kuwa Chini Ya Studio Hizo.
Kulingana Na Malengo Yake Ni Kuwa Anatarajia Kuachilia Traki Mpya Hivi Karibuni.
Kilala Heri Faty.


No comments:

Post a Comment