flash3

Thursday 31 January 2013

SUMA LEE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Msanii Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi. 
"BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI."
  Suma hajaelezea chochote cha zaidi kama yuko wapi, kafariki kwa ugonjwa gani na mazishi yatakua wapi...Tumejaribu kumpigia sim hapatikani huku wengine wakidai yuko nje ya nchi..habariz aidi utazipata hapa, kadri tutakaviyozipata...Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. AMEN
 

No comments:

Post a Comment