flash3

Tuesday 17 April 2012

ALI KIBA AKANUSHA KWAMBA HAKWENDA KUMCHUKUA LULU USIKU ALIOFARIKI KANUMBA.

  Mshindi wa wimbo bora wa zouk rhumba katika tuzo

za Kilimanjaro Tanzania Music Awards mtu mzima
Ali Kiba amekanusha kwamba usiku aliofariki Kanumba
yeye ndo alienda kumchukua Lulu, Wakati tukio linatokea
 Ali Kiba alikuwa kiwanja cha coco beach ndipo
kwamba Kanumba kafariki, Ndipo akampigia simu Lulu
kumuliza kama ni kweli Kanumba kafariki Lulu alimwambia
 hapana hajafa anaumwa tu.

 Muda si mrefu akapokea
simu kutoka kwa mama mtoto wake anaekaa Sinza
akamwambia ni kweli ameona mwili wake ukiingizwa
 mochwari. Ali Kiba asubuhi yake alisafiri kueleka
Malindi/Mombasa Kenya .

No comments:

Post a Comment