flash3

Friday 13 April 2012

Mombasa inakuja kali, Msani aliyekuwepo Seniour Doja maarufu kama Hemed Ali amerudi tena .kwa Fani ya Sanaa ya Muziki na muondoko wa aina yake.
Ni wazi kuwa ameamua kwani Track yake mpya 'Huruma' imepokelewa vyema na mashabiki wa Pwani na Kenya nzima kwa kujumla.
akizungumza na na Mfb Ent Doja ametaja kuwa silaha ya ushindi katika sana ya muziki ni kuwa na ubunifu wa kila uchao.(Kuji Update).
doja aliye chini ya usimamizi wa Home works Ent amewaomba wanamuziki pwani waamuwe kulipamba jin a la pwani na ktalanta zao.

No comments:

Post a Comment