flash3

Monday 23 April 2012


Penzi la Kanye West na Kim Kardashian limezidi kukolea baada ya Kim kumtabulisha Kanye kwa familia yake kama ndio ‘mzee’.
Wawili hao walianzisha uhusiano uhusiano wao kirafiki mwaka jana ambapo Kim alikua kwenye harakati za kuolewa na mume wake Kris Humphries ambaye alimuacha baada ya siku 72 za ndoa. Baada ya ndoa yake kuvunjika katika mazingira ya kutatanisha,Kim amelianzisha na Mr. West.
Kim na Kanye walisafiri kwenda New York baada ya kuonana na familia ya Kardashian kucheki Biashara za Kim na Kanye kurekodi nyimbo mbili tatu studio.

No comments:

Post a Comment