flash3

Friday 13 April 2012

 
Mkali wakupiga tongue twist rapper huyo kutoka
 Illinois Twista ameshtakiwa na familia ya aliyekuwa
mlinzi wake kutokana na ajali wakiwa kwenye tour bus
2004. Habari kutoka The Chicago Tribune kupitia FSD
Familia ya Dixon imefungua kesi hiyo kwa Twista, Dixon
 alifariki kwenye ajali ya iliyotokea Pennsylvania.
Ajali hiyo ilitokea wakati ndugu yake Twista aliefahamika
 kama Otis Bankhead kulala akiwa anaendesha
 gari wakitokea Chicago kuelekea New York.

Kesi hiyo inamuelekea Twista na company label yake
 na promoters kwa kutomkataza Bankhead kuendesha
gari katika hali ile aliyokuwa nayo, Pia alikua anarekodi
 inayoonyesha kwamba alishasababisha ajali siku za
 nyuma na leseni yake ilikuwa imefutwa hakutakiwa
 kuendesha gari hadi ilipotokea ajali hiyo. Familia ya
 Dixon mlinzi huyo wa Twista ilifungua kesi kama
hiyo miaka miwili baada ya ajali lakini wanasheria
wakaitupa kapuni mwaka jana kesi imefunguliwa
mwaka huu tena…Kikitokea chochote kwenye
 case hii utapata stories more hapa ndani ya http://www.mfb-ent.blogspot.com

No comments:

Post a Comment