flash3

Saturday 21 April 2012

MYSTICAL KURUDI JELA TENA TAREHE 14 MAY 2012

Week moja kabla Mystical ajarudi jela aongea na
 Peter Rosenberg time aliyospend jela wakati
 akiwasili Kusini mwa Austin katika sherehe za
southwest mwezi uliopita. Rapper huyo kutoka
 Louisiana Mystical alifunguka katika mahojiano
 na Peter Rosenberg kwenye kituo cha Hot 97.
Sehemu kubwa katika interview hiyo Mystical
 aliongelea sana kipindi akiwa jela ambapo
 alitoka January 14 2012. “Ilikuwa ngumu sana
 kitu cha kwanza nilitakiwa nizoee na utofauti wenyewe,
 kutoka kwenye hali ya kujitawala kufanya kitu bila
 ruhusa ya mtu alafu unaenda sehemu huwezi kufanya
 kitu bila ruhusa ya mtu” Alisema Mystical. “ Kweli ilikuwa
 heshima nikiwa kule kulikuwa na mashabiki kibao
 na wengine walikuwa wanavipaji pia” Akiongelea
siku aliyotembelewa na mchezaji supastar wa zamani wa
NBA Shaquille O’Neal kitu ambacho
 kilimfanya aheshimiwe kwa miaka.

No comments:

Post a Comment