flash3

Tuesday 24 July 2012

CHRIS BROWN AKANUSHA KUACHANA NA KARRUECHE NA KURUDIANA NA RIHHANA

Wasemaji wa Chris Brown wamekataa habari zilizozagaa kuwa CB ameachana na girlfriend wake Karruche Tran na kusema kuwa ripoti zinazosema kuwa kapatana na mpenzi wake wa zamani Rihhana ni uongo.
muimbaji huyo wa  ' Turn up the music ' alikwea pipa na kuelekea kusini mwa Ufaransa mapema wiki iliyopita kushoot video ya wimbo unaoitwa 'Everyday Birthday.' akiwa na  Swizz Beatz na Ludacriss.
hata hivyo ripotizilianza kuzagaa kuwa CB amesepea huko (Europe)kukutana na x wake Rihanna, ambae yupo mapumzikoni pande hizo hizo.CB ilisemekana kuwa pia ametemana na Girfriend ake Karrueche baada ya kugundua kuwa amekuwa akitumiana ujube mfupi na hasimu wake mkubwa kutoka Young Money, rapper Drake, lakini ameonekana akiongozana na CB atika trip kuelekea Cannes.
wazungumzaji wa CB wamekanusha vyote vilivyokua vikiongelewa na kusema kuwa havina ukweli hata kidogo
"CB (Chris Brown) yupo Ufaransa kushoot video ya wimbo wa Swizz Beatz na Ludacris yupo huko. Karrueche pia yupo huko huko, hawajaachana. Hayupo katika boti ya Rihanna na wala hana ukaribu nae." Amesema mzungumzaji wa CB

No comments:

Post a Comment