flash3

Saturday 21 July 2012

MARIAH CAREY KUWA MMOJA WA MAJAJI KTK SHINDANO LA AMERICAN IDOL.


alt
Mariah Carey aliyezaliwa March 27, 1970, is an American singer, song writer, record producer, and actress. Aliyeanza kurecord albam yake ya kwanza mwaka 1990 under guidance of Colombia Records executive Tommy Mottola and the albam went multi-platinum iliyotoa single 4 zilizoweza kushika number moja katika Billboard Hot 100 Chart. Mariah carey ambaye amesha hit na albam km Emotions (1991), Music Box (1993), Emancipation of mimi (2005) and Merry Christmas II You (2010). Round hii Mariah Carey atakua ni mmoja wa Majudge kwenye shindano la American Ideol dis year, atachukua nafasi ya Jennifer Lopez, sababu za JLO kutoka hazijathibitishwa.Mariah Carey ataungana na Judge wa mrefu katika mashindano hayo anajulikana km original judge Randy Jackson and producer/host Ryan Seacrest

No comments:

Post a Comment