flash3

Monday 30 July 2012

RONALDO AFUNGUA KLABU HUKU MESSI AZINDUA MVINYO.



alt
Huu ndio mvinyo wa Lionel Messi.
alt
This is where Cristiano has his naked rollerblading parties. (Seven Vilamoura)
alt
This is where Cristiano winks at hookers. (Seven Vilamoura)
Kama ilivyotangazwa mwezi February, Kampuni ya Argentina ya kutengenza wine Bodega Valentin Bianchi amezindua wine za Leo Messi kwa kushirikiana na Foundation ya Leo Messi, huku faidika itakayopatikana kupitia wine hizo itaenda kusaidia watoto wenye matatizo.
Chupa za wine hizo zimebandikwa lebo aidha ya jezi au mpira huku jina la "Leo" likiwa juu yake. Wine hizo zitakuwa zikipatikana Europe na Asia na Argentina pia.

Kwa upande mwingine Cristiano Ronaldo na kaka yake wamefungua klabu ya usiku huko Ureno inayoitwa Seven Vilamoura. Swali je klabu hiyo ya Seven Vilamoura itauza kinywaji cha Wine ya Leo??

No comments:

Post a Comment