flash3

Friday 20 July 2012

WHO IS MAMA SIZO?

Mama sizo nikati ya wasanii waliobobea na wanaovuma sana kote nchini na hata nchi za nje.
Msanii huyu ambaye alianza safari ya usanii mwaka wa 2008 baada ya kuchukua uraiya kama mkenya  mwaka wa 2005.
katika nyimbo zake amegusia maswala kadhaa yanayogusia maisha ya mwanadamu kando na wimbo wake wa mapenzi,   nyimbo nyingine ni kama -amani,haki ya watoto,say no 2 drugs na HIV
.mbali  na hayo katika  wimbo wake wa kwanza Holiday in sizo alitaka kuwakaribisha watalii zaidi humu nchini.
Mama Sizo amewashilikiza wasanii wengine kama vile pilipili na wengineo katika nyimbo zake kwa sasa ana album tatu akitarajia kupromote album yake  hiyo  tatu na nne  nchini switsland.
Hata hivyo msanii huyu anajivunia umri wake mpevu na mwenye kutoa mawaidha kwa vijana na  mashabiki wake.
Msanii huyu aidha anazitambua nyimbo zinazo vuma sana kama penzi ni wewe,siku zinaenda,say no to drugs ambao umevuma zaidi..
hata hivyo  msanii huyu ana lengo la kuwa hapa nchini na kwendelea na usanii wake ili  kuwashika zaidi  na kuwaridhisha mashabiki wake kupitia kwa kipawa chake cha sanaa ya uimbaji.

No comments:

Post a Comment