flash3

Thursday 19 July 2012

Maafa Ya Ferry Tanzania..........................

(Maiti zilizopatikana)
Lo!!!!!!!!
Kwa niaba ya jumba zima la mtandao huu, Dj Mafimbo nasema Poleni Mulio Fiwa Tanzania, hakika maulana ana sababu ya haya........licha ya hayo Serekali lazima ifanye uchunguzi wa chanzo cha ajali hii, pili vifaa vyote vya usafiri wa majini Tanzania, sharti vifanyiwe uchunguzi kabla ya kusafiri.
Mungu alaze roho za wote walio kufa mahala zinapo stahili.
 (Walionusurika katika mkasa huo du!!!!!!!!!!!!!)

No comments:

Post a Comment