flash3

Wednesday 25 July 2012

KIKOSI CHA MNARANI SPORTS .............................


Timu hii kutoka Kaunti ya Kilifi, ilianzishwa mnamo mwaka jana mwezi wa nne na kufikia sasa imekuwa katika vitabu vya sifa kufuatia soka wanayoichapa.
Vijana hawa wanaofunzwa soka na Meneja Modi Munga, wanashiriki katika ligi ya kaunti jambo ambalo limeleta msisimko mkuu katika soka ya eneo hilo.
mwanzilishi wa timu hii Arnold Munga ambaye pia ndiye mmiliki wa mtandao huu wa Mfb-ent.bologspot.com, anasema yeye kama mwanasoka angependa kushirikiana na kijana yeyote yule mwenye taaluma ya kusakata ndimba.

Akizungumza kabla ya kipute kati ya Spoti na Mark 1 huko Kilifi uwanjani mtg, mechi iliyotamatika 1-1, Munga alidokeza kuwa haina haja kijana kupoteza maisha yake rahisi, hali kunayo njia ya kufaidi maisha yake.
Wakati uo huo amewaomba vijana kuwajibika na maisha yao........

No comments:

Post a Comment