flash3

Wednesday 25 July 2012

Msanii Majid Awaahidi mashabiki wake zawadi ya Moyo Wake............

Mwanamuziki Majid maarufu kama Majid Mbarak kutoka Mombasa, asema yupo tayari kuupandisha mziki wa eneo hili la pwani, endapo maulana atamzidishia uhai.
Majid ayatamka haya wakati alipokuwa akihojiwa na Redio Pwani Fm katika kipindi Tafrija Remix.
wakati ou huo, Mbarak amewataja maproducer wa muziki pwani kuwa wawe watu wakuwajibika na kazi zao ilikuhusika katika namna za kuukweza muziki huu wa kizazi kipya.
hata hivyo hakusita kuwapongeza wanamuziki wenza hapa mkoani huku akiwashauri kuwa makini na wabunifu zaidi.
Aidha, alitumia fursa ya mahojiano hayo ya redio kuwashukuru mashabiki wake huku akiwataka wazidi kuushabikia muziki huu.



No comments:

Post a Comment