flash3

Wednesday 6 November 2013

BABY MADAHA KUPIGA SHOW JIJINI LONDON

BABY MADAHA KUPIGA SHOW JIJINI LONDON Msanii mkali wa bongo flava Baby Madaha anatarajia kupiga show kali pande za Essex November 30th 2013. Baby Madaha amehaidi kutoa burudani kali kwa mashabiki wake walioko pande za Uingereza.

Mnager wa Baby Madaha “MR JOE KARIUKI” amesema kwamba itakuwa ni bonge la surprise kwa mashabiki wa pande hizo na Baby Madaha atapata nafasi ya kuzindua manukato yake ya “CANDY N CANDY”NA GIFT BAGS ZAKE ZENYE PICHA YAKE

No comments:

Post a Comment