flash3

Wednesday 6 November 2013

CANDY N CANDY KUMSHTAKI DAZLA..............

 (Dazla Katika Pozi)
Sasa Ni wazi kuwa Dazla Kiduche Msanii Mkali Wa Pwani Ya Kenya itambidi asimame kizmbani kujibu mashtaka dhidi yake na kampuni ya CANDY N CANDY baada yaa msanii huyo kukosa kufuata maagizo ya mkataba kati yake na kampuni hiyo.
Kulingana na Meneja Mkuu wa kampuni hiyo JOE KARIUKI Dazla hakuhitajika kujiandalia show yoyote ispokuwa kuandaliwa na Kampuni Hiyo.
Akizungumza Katika Mahojiano Ya Kipekee Na Pwani Fm, Joe Asema Hana Haja Ya Kuwa Na Mkataba Na Mwanamziki Mwingine kutoka Kanda Ya Pwani Kama Mkuondo Wa Wasanii Hao Ni Uliofuatwa Na Dazla.
( Lebel Ya Campuni CANDY n CANDY)
Hata Hivyo Joe Amehakikisha Kufufua Mkataba Wake Na Fatty S Mkataba Ulio Kuwa Umefifia Baada Ya Fatty Kufanya Makosa Kama Aliyo Yafanya Kiduche.
Aidha Dazla Kiduche Naye Ameikashifu Kampuni Hiyo Kwa kusema kuwa Imekosa Mbinu Za Kuinua Wasanii, Na Inahitaji Kuwa Na Subra Inapoweka Mkataba Na Msanii.
Dazla Hata Hivyo Alisema Kuwa Yupo Tayari Kumkosoa Joe Wakati Wowote Kwa Sababu kHana Muda Wa Kupoteza Na Mtu Amabaye Ana Malengo Ya Kumdororesha Katika alanta Yake Iliyo Tegemeo Lake Na Jami Yake.
(Fatty S Katika Pozi.)
Wakati uo Huo Meneja Joe Alikanusha Madai Yanayo Mwandama Kuhusu Sajili Yake Mpya Baby Madaha.
Joe anadaiwa kuwa na mahusia ya kimapenzi na Mchikicha Huyo Kutoka Taifa La Tanzania Ambaye Kwa Sasa Anaonekana Kungara Sana Katika Fani Ya Uimbaji Na Filamu.
"Baby Madaha Ni Msanii Kama Msanii Mwingine Yule Lakini Tofauti Yake Na Wengine Nilio Nao Ni Kuwa Huyu Mtoto Wa Kike Ana Bidii Zake Na Lazima Tumwangazie."
Katika Hilo Joe alisema Kuwa Mwanadada Huyo Ana Bidii Zinazofaa Kumlipa Na Malipo Ya Bidii Katika Fanii Hii Ni Kujulikana  Kwingi.

No comments:

Post a Comment