flash3

Friday 15 November 2013

LAGOS:INTERVIEW WITH HIP TV


 Nilipata fursa ya kualikwa kufanyiwa mahojiano na 
kituo kikubwa cha tv hapa Lagos..
HIP TV  ,nilizungumza
 nao mengi kuhusu music wetu wa bongo
 fleva,project ninayoifanya na wasanii wa 

Nigeria   na zaidi waliniuliza ni kwa nini ninaongoza 
kuwa msanii ninaeuza zaidi caller tones East Africa ..and .
 i said, "I just dont know only God knows the
 Secret Behind..." #CocaBoys #WCB #Wasafi for Life Darling!



No comments:

Post a Comment