flash3

Thursday 14 November 2013

MAREKANI WAFANYA MAAMUZI MAKALI DHIDI YA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU

MAREKANI WAFANYA MAAMUZI MAKALI DHIDI YA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU Nchi ya Marekani imeamua kusaga saga pembe za ndovu zenye uzito wa tani sita ili kufikisha ujumbe kwa wawindaji wote haramu na wale wanao nufaika na bishara haramu ya uwaji wa Tembo.

“Destroying this ivory tells criminals who engage in poaching and trafficking that the United States will take all available measures to disrupt and prosecute those who prey on, and profit from, the deaths of these magnificent animals,”
Rais Barack Obama alitoa jumla ya dolla za kimarekani 10 million ili kuwafundisha askari wa wanyama pori mbinu mbalimbali za kukabiliana na ujangili wa wanyama pori na kuweka faini kubwa kwa mtu yeyote atakaye kuwa anapeleka pembe za ndovu Marekani

No comments:

Post a Comment