flash3

Friday 8 November 2013

STEVE NYERERE AMTETEA RAY KUHUSIANA NA TUHUMA ZA MSIBA WA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU

STEVE NYERERE AMTETEA RAY KUHUSIANA NA TUHUMA ZA MSIBA WA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU Siku chache zilizopita msanii maarufu wa bongo movie “Ray” alijikuta kwenye tuhuma nzito baada ya kulalamikiwa kuwa kichochezi cha kuwashawishi wasanii wa bongo movie wasiende kwenye msiba wa baba mzazi wa Wema Sepetu.
Steve Nyerere ameamua kungilia kati ugomvi huo na kumtetea Ray na kusema Mnamlaumu bure Ray jambo ambalo hajafanya kwakuwa Ray ni jalala basi kila kitu mnamtupia,jamani mwacheni apumzike, .
Sisi katika Bongo Movie Unity tuna uongozi, tuna mwenyekiti,tuna mwenyekiti wa mipango ambaye ndio mimi, na tuna makamu wa mwenyekiti ambaye ndio mimi na tuna makamu mwenyekiti ambaye ni Irene Uwoya.
Lakini sisi taratibu zetu kwenye misiba kama unaona kwenye misiba yetu tunajitoa,lakini linavyotufika tunaangalia ni mwanachama gani naye anakua anajitoa katika misiba ya wenzake” alisema Steve

No comments:

Post a Comment