flash3

Tuesday 18 September 2012

CAMP MULLA WAFANYA COLLABO NA WIZ KID....

                                                                   Camp mulla
Kutoka code za 254 Nairobi hawa si wengine wanafahamika kwa jina la Camp Mulla.Wasanii hawa wamefanya collabo na msanii  anayetokea pande za nigeria anafahamika kwa jina la Wiz Kid.Taarifa hii tumeipata baada ya  kundi kutoka 254 Camp  mulla kuandika katika mtandano wa kijamii unaojulikana kwa jina la Twitter.
                   
Huyu ndiyo msanii ambaye anatokea nchini Nigeria anafahamika kwa jina la Wiz kid amefanya collabo na wasanii kutoka Kenya wanajulikana kwa jina la  Camp mulla.

No comments:

Post a Comment