flash3

Wednesday 19 September 2012

HAPPY BIRTHDAY 2 FACE.......

Msanii anayewakilisha pande za Nigeria huyu si mwingine anajulikana kwa jina la Innocent Ujah Idibia a.k.a  2Face kwa siku ya leo anatimiza miaka 37 toka azaliwe mwaka 1975 mjini Jos nchini Nigeria.Tunamtakia maisha mema na kazi nzuri kwake katika harakati za kuendeleza game la muziki hapa Africa.

No comments:

Post a Comment